MAISHA NI NYUMBA

Kumekuwa na msemo mjini unaosema Baba mwenye nyumba, ukiwa na maana mtu anayemiliki nyumba ambapo anaweza akawa amepanga na kuwa na uwezo wa kuilipia hiyo nuymba au akawa amejenga kabisa nyumba yake apo huuitwa baba mwenye nyumba. Msemo huu unadhihirisha kabisa umuhimu wa nyumba kwanza kwa maisha ya kawaida ya kila siku, unawakumbusha wanajamii kuwa  na umiliki wa nyumba. Kuendesha maisha ndani ya nyumba ambayo uko na uhuru wako kamili ni jambo la furaha sana, uhuru huo unakupa nafasi ya kufanya maamuzi yako ukiwa umetulia tofauti na unapokuwa na msongo wa mawazo kuhusu kero ya nyumba unayopewa sababu tu hauna kwako. Nyumba inakupa uhuru wa kuwa namaamuzi juu ya idadi ya watoto utakao kulingana na ujazo wa nyumba yako pia bila kusahau nyumba inakuletea baraka za wageni, kuishi ndani ya nyumba yako ukiwa na uhuru wako baadhi ya jamii na marafiki wanaokuzunguka inawapa nafasi ya kuja kukutembelea na kuona burudani kuwa kwako.
Fanya maamuzi sasa temebelea kurasa wetu wa Facebook katavi real estate agent au instagram akaunti yete katavi real estate agent bila kusahau tovuti yetu ya katavi real estate agent, apo utaweza kupata machaguo tofautitofauti ya nyumba uipendayo yenye huduma zote za kisasa zenye ubora kwa bei nafuu zaidi. Kwa mahitaji ya kupangisha au kununua nyumba yako.

 

No comments:

Post a Comment