1.1 Ndio picha halisi ya floor plan ya 1.2
2.1 Ndio picha halisi ya floor plan ya 2.2
Hizo zote mbili ni muhimu sana kwa mtu yoyote ambaye anampango wa kujenga nyumba bora ya kisasa na yenye gharama rahisi. Sasa kwa mahitaji kama hayo ya ramani za nyumba na ushauri kuhusu ujenzi wa nyumba bora kulingana na geografia ya mji wetu wa Mpanda njoo KATAVI REAL ESTATE AGENT tukupe darasa la bure kabisaa.
Ni sehemu pekee ndani ya MPANDA MJINI unayoweza kupata nyumba bora za makazi (kununua na kupangisha), kununua viwanja vilivyopo katikati ya mji na pembezoni mwa mji pamoja na kupata vyumba bora vya biashara yaani frame. Karibu sasa uhudumiwe
Showing posts with label Nyumba bora. Ramani za kisasa. Katavi real estate agent. Nyumba za kupanga. Viwanja. Show all posts
Showing posts with label Nyumba bora. Ramani za kisasa. Katavi real estate agent. Nyumba za kupanga. Viwanja. Show all posts
Subscribe to:
Posts (Atom)
